SIKU YA UKIMWI DUNIANI - 2022
Ndugu Sixbert Katabaro akimueleza Mgeni rasimi ambaye ni mkuu wa Mkoa wa Kagera,Ndgu Albert Chalamila katika maadhimisho ya #SikuYaUkimwiDuniani, Ngara,Mkoani Kagera namna uwezeshaji wa kiuchumi kwa mabinti balehe unavyozuia kuenea kwa janga la UKIMWI katika jamii.